Mkuu Kuna nyimbo naiwaza Anyway hata Kama si yenyewe ngoja niiweke tu but somehow inasound Kama ulivyoandika ila hiyo kiberenge ni jina langu mkuu..🤣🤣
Mkuu Kuna nyimbo naiwaza Anyway hata Kama si yenyewe ngoja niiweke tu but somehow inasound Kama ulivyoandika ila hiyo kiberenge ni jina langu mkuu..🤣🤣
Ha ha! Okay hao ndo in Africa band wananyimbo nzuri huyo unaemsikia anaanza kuimba ndo yule anaitwa bizman alieimba ametoroshwa na ile ngoma mademu wa bongo.Kaka mungu akubariki Sana nimeitafuta Sana hii ngoma kweli nimeamni kwenye miti hapakosi wajenzi Mimi nilitafsiri kwa kiswahili mkuu sorry kwa kutuma jina lako mkuu
Daah huwezi kuamini mkuu Kuna idea ilikuwa inanijia kuwa huyu ni bizman naingia YouTube naandika bizman kiberenge nyimbo haiji zinakuja nyingine za bizman nikajua labda sio bongo wameimba nikaanza wasanii ambao kidogo wanaendana sauti kidogo na walioimba hii nyimbo nikasema labda papa Wemba au wale magic system wa Cameroon lakini wapi sipati kilichonicost nilikuwa naandika jina la nyimbo kiberenge alafu nilikuwa najua sio wabongo Sasa Leo nilivyoidownloaad nakutafuta wanataja kasulu kigoma kumbe no mwanangu bizzman kaimba daah Asante Sana mkuuHa ha! Okay hao ndo in Africa band wananyimbo nzuri huyo unaemsikia anaanza kuimba ndo yule anaitwa bizman alieimba ametoroshwa na ile ngoma mademu wa bongo.
We unaafazali mkuu wengine tunatafutaga nyimbo za kihindi hujui msanii wala muvi husika unajua inavosaundi tu na majina hayo ya kihindi sasa..🤣 lkn huwa napambana mpk naipata!Daah huwezi kuamini mkuu Kuna idea ilikuwa inanijia kuwa huyu ni bizman naingia YouTube naandika bizman kiberenge nyimbo haiji zinakuja nyingine za bizman nikajua labda sio bongo wameimba nikaanza wasanii ambao kidogo wanaendana sauti kidogo na walioimba hii nyimbo nikasema labda papa Wemba au wale magic system wa Cameroon lakini wapi sipati kilichonicost nilikuwa naandika jina la nyimbo kiberenge alafu nilikuwa najua sio wabongo Sasa Leo nilivyoidownloaad nakutafuta wanataja kasulu kigoma kumbe no mwanangu bizzman kaimba daah Asante Sana mkuu
Nisaidieni namna ya kupata nyimbo za Mob house nafikili ni funk ni miaka natafta lakini sijafanikiwaMkuu Kuna nyimbo naiwaza Anyway hata Kama si yenyewe ngoja niiweke tu but somehow inasound Kama ulivyoandika ila hiyo kiberenge ni jina langu mkuu..🤣🤣