Msaada:jinsi ya kuwa mpelelezi wa taifa

dottoz

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2012
Posts
1,510
Reaction score
870
Wadau wa Jf naomben mnisaidie kwa yeyote anayejua jinsi ya kuwa mpelelezi(spy)wa taifa kwa yeyote anayejua kuhusu hili.
 
Anakujua nani ndugu yangu kwenye nchi hii?
 
omba kwanza upate maafunzo ya jeshi au polisi ndio hayo yanaweza kuja lkn tanzania ya leo mpaka utoke koo zilezile za wanaojulikana na kama umeishi osterbay au upanga unaweza juana na wengi wa huko
 
kwanza mpaka hapo umeshashindwa vigezo vya kuwa usalama wa taifa , chochcote kile kinatakiwa kiwe moyoni mwako peleleza kimya kimya utajua kila sehemu na makao yao makuu, mtihani wao wa kwanza ndio huo.,.,.,
 
hakuna uwezekano wa wewe kuwa usalama wa taifa maana unaonekana kuna jambo linaloweza kukupeleka,angalia uwezekano wa kutafuta kazi nyingine na fanya uchunguzi wa kimyakimya,
 
jamani mi nataka kuwa usalama wa dunia
 
Ahahaaaaa...ni-pm nikupe contacts za wahusika na wapi unaweza kukutana nao...but pse lazma uwe unaishi dsm
 
Ahahaaaaa...ni-pm nikupe contacts za wahusika na wapi unaweza kukutana nao...but pse lazma uwe unaishi dsm

yes ,mie npo Dar napatkana Oysterbay karbu na kwa wazri fulan hv.
 
Lengo lako ni nini? Jukumu la kulinda nchi ni la kila raia!
Sio mpaka uwe spy au kama hauoni papasa bwana au na hilo mpaka mtu atoke dodoma aje kukwambia?
 
Ata mimi nataka bunduki aina ya ak 47 kama unazo mbili niuzie moja.
 
Wadau wa Jf naomben mnisaidie kwa yeyote anayejua jinsi ya kuwa mpelelezi(spy)wa taifa kwa yeyote anayejua kuhusu hili.

Usisumbuke HUFAI kuwa spy. I.Q yako tu imebainisha hivyo
 
yes ,mie npo Dar napatkana Oysterbay karbu na kwa wazri fulan hv.

Good! Perfect location, sasa anza kwa kua Mdaku unapeleka umbea kwa huyo wazri fulan then mambo yataanza kunyooka taratibu, wala usiwe na haraka.
 
Good! Perfect location, sasa anza kwa kua Mdaku unapeleka umbea kwa huyo wazri fulan then mambo yataanza kunyooka taratibu, wala usiwe na haraka.

Huyo hawezi UWEZO wa KUFIKIRI ni problame
 
Huyo hawezi UWEZO wa KUFIKIRI ni problame

ni nao sana na ninajua mambo mengi sana hata wewe huyajui huku 2naish na vgogo kbao,na hata hvyo jina langu kamili hamlijui so dat ipo shwari 2 na utaratbu wa kuwa SPY c hvyo mnavyodhania it's so easy c kupitia katka jesh wala upolisi ni uwezo wako 2 ulionao na uadilifu wako katka nchi yako ya Tanzania,na studentz hu2miwa zaid kuweza kupeleleza katka mashule mbalimbali na kujua knachoendelea katka xcul hyo ambayo serikali imetilia shaka na knachotendeka xcul hapo,ha ha ha ha ha ha ha ha ni hayo 2 wana Jf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…