Msaada jinsi ya kuwa wakala wa MAX MALIPO.

Muntu Ya Pori

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
222
Reaction score
64
Wana jf, mambo vp?. Jamani naomba msaada nataka kuwa wakala wa maxmalipo. Hapa nilipo jamii inahangaika namna ya kulipa huduma mbalimbali so nataka niwawekee huduma karibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…