Rais Wa Malofa JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 683 Reaction score 782 Feb 11, 2020 #1 Habari za muda huu waungwana. Kuna vishilingi mbili nimevipata sehemu kwa haraka haraka nimefikiria kuviwekeza kwenye uwakala wa betting. Kimsingi kuna kampuni nyingi za betting Tanzania ila mimi ningependelea kuwa wakala wa Meridian. Naomba kwa anayefahamu utaratibu wa kupata hiyo huduma anisaidie tafadhali. Natanguliza shukrani. Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za muda huu waungwana. Kuna vishilingi mbili nimevipata sehemu kwa haraka haraka nimefikiria kuviwekeza kwenye uwakala wa betting. Kimsingi kuna kampuni nyingi za betting Tanzania ila mimi ningependelea kuwa wakala wa Meridian. Naomba kwa anayefahamu utaratibu wa kupata hiyo huduma anisaidie tafadhali. Natanguliza shukrani. Sent using Jamii Forums mobile app
Norshad JF-Expert Member Joined Jun 3, 2013 Posts 5,211 Reaction score 12,538 Feb 11, 2020 #2 Dah man usijekubetia huo mtaji man.