AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,659
- 2,827
Ili ni tatizo la blog yako sio Ads ni sawa na kuweka picha kwenye container ambayo haivutiki/Non-flex hata hivyo siwezi kuongea sana kwa kuwa haujaweka link tuoneWanabodi habari, naomba kufahamishwa namna ya kuset blog ads banner katika mfumo wa responsive maana Kila nikiweka kwenye simu muonekano wake unakuwa mbaya ..ni code Gani nafaa kuweka..!?
Pia naomba msaada wa kujua namna ya kuset slide ads banner kwenye blog...yani natengeneza vipi haya makitu..ama Kuna online software Gani nzuri KwA ajili ya hizi mambo!?
Shukran.
Hujawa specific pia, ads n zako mwenyewe au 3rd Party?Wanabodi mkuje
Natumia blogger cheifHullo, hiyo blog, umeicode, au unatumia CMS (Blogger, WordPress)
Ads zangu mwenywe ndugu..Hujawa specific pia, ads n zako mwenyewe au 3rd Party?
But how maana naona many blogs , mfano michuzi, Saleh jembe, binzuber ads banner zao ziko responsive !? Nataka ziwe Kama vile kwenye blog yangu pia how can I do like that!?Ili ni tatizo la blog yako sio Ads ni sawa na kuweka picha kwenye container ambayo haivutiki/Non-flex hata hivyo siwezi kuongea sana kwa kuwa haujaweka link tuone
Ndio maana nilikuambia weka link ya blog hutaki, tatizo lenu huwa mnataka vitu kama vya flani ila a hamko tayari kusikiliza ushauri, nachokuambia nakielewa weka link tuoneBut how maana naona many blogs , mfano michuzi, Saleh jembe, binzuber ads banner zao ziko responsive !? Nataka ziwe Kama vile kwenye blog yangu pia how can I do like that!?
NiniMmeishiwa wakuu?
MadiniNini