MSAADA: Jinsi ya kuweka football livescores katika blog

Simeone

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
905
Reaction score
1,002
Habari zenu wakuu, je nitumie njia gani kuweka football livescores katika blog yangu tofauti na kutumia iframe?

Msaada Pls!
 
Habari zenu wakuu, je nitumie njia gani kuweka football livescores katika blog yangu tofauti na kutumia iframe?
Msaada Pls!
Bila iframe lazima utumie API mojawapo kutoka makampuni yanyotoa livescore
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…