Msaada jinsi ya kuweka rangi kwenye post

mbona siwez jaman
Tumia mabano [ ], humo ndani andika [color=rangi utakayo] kisha andika unachotaka
Note, baada ya mabano usiache nafasi unapoanza kuandika neno la kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…