Msaada jinsi yaku cancel admission UDOM

Msaada jinsi yaku cancel admission UDOM

luofe

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2011
Posts
330
Reaction score
143
Wakuu, nilitumia mtu kuomba chuo second round, akakosea kozi ya kwanza nliyompa na nimechaguliwa hiyo hiyo hapo udom.
Nimejaribu ku cancel pale inagoma. ..msaada wa namna bora yaku cancel ili niombe upya
 
Kuna mambo yawapasa kuwa serious nayo. Time will tell!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nasikia huko dodoma bungeni hata watu wasiokua na vichwa wanapelekwa
 
Back
Top Bottom