Wakuu, nilitumia mtu kuomba chuo second round, akakosea kozi ya kwanza nliyompa na nimechaguliwa hiyo hiyo hapo udom.
Nimejaribu ku cancel pale inagoma. ..msaada wa namna bora yaku cancel ili niombe upya