Msaada: Join instruction DAKAWA SECONDARY SCHOOL

mpushi

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
280
Reaction score
77
Naomba msaada wa yoyote anaeweza kunisaidia msaada wa join instruction ya Dakawa secondary school kwa Form 5, au gharama halisi zinazotakiwa. Asanteni
 
Mkuu naomba unisaidie na mm namba ya mwanafunz yyt anaesoma dakawa sec kwa sasa

Nina mdogo wangu kachaguliwa ila tatzo mawasiliano imekuwa shida sn,,,ni PM km yupo anaesoma hapo,nitashukur sn
 
Ushaur kawaida shule zote kidato cha tano usihangaike kupata join bali nenda napesa yako kama laki nne hivi coz kila kitu hupatikana shuleni mpaka sare
 
hivi ticha kasembe na madam kanuti sijui bado wapo pale...
kitamboo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…