G M S
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 502
- 53
Wakuu msaada wenu please nina matatizo ya joint za kiuno zinasumbua sana kunakuwa na kama msuguano hasa upande wa kulia na hii imenianza baada ya kumaliza dozi ya sindano za kwinini.
Sijui itakuwa zile dawa zimenyonya majimaji msaada pls kwasabu kupanda ngazi na kunyanyua miguu sana napata maumivu.
Sijui itakuwa zile dawa zimenyonya majimaji msaada pls kwasabu kupanda ngazi na kunyanyua miguu sana napata maumivu.