Msaada jordan university

Msaada jordan university

Ngaramtoni

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2012
Posts
430
Reaction score
61
Naomba kwa wale wenye info za adiministrative(other cost) za Jordan university ni kiasi gani?sina access na net tafadhali
 
Jf umeingia na mini kabang au huo muda ulioandika hapa ndo unge google jordan wako strictly kila kitu kipo kwenye web yao
 
Medical fee 100,000
university sustainability fund 50000
registration fee 50000
student activity fee 10000
general service fee 60000
caution money 10000
identity card 10000
total of administrative fees 290000
 
Medical fee 100,000
university sustainability fund 50000
registration fee 50000
student activity fee 10000
general service fee 60000
caution money 10000
identity card 10000
total of administrative fees 290000

uko mwaka wa ngapi wewe?
 
nashukuru iluminatha,achana na huyo me namwambia sina access ya kuweza kudownload fee structure bado ananiambia nikagoogle,well nadhani this is for first year,is it the case?manake nahitaji for first year
 
yes its, your welcome
 
Medical fee 100,000
university sustainability fund 50000
registration fee 50000
student activity fee 10000
general service fee 60000
caution money 10000
identity card 10000
total of administrative fees 290000

ongeza na examination fee 200,000 halafu medical fee kama una bima ya afya unatoa 20000
 
Hyo 290 ndo pesa nayotakiwa ongezea kwenye mkopo nliopata chuon kwangu,duh hv nyie hamkuona vyuo vya kuchagua nn,wale wa sauti,ifm,kairuk,imtu n wale wale kasoro tarehe
 
Mi tayar nishafka chuoni. Wanasema kwa first year inatakiwa uripoti chuoni na 650000 bila kujal umepata mkopo kias gan. But mambo mengne wataya maliza baada ya kuingia 2nd year either kurudshiwa kias flan au utaongeza kulingana na mkopo wako. Ahsanten sana.
 
Jf umeingia na mini kabang au huo muda ulioandika hapa ndo unge google jordan wako strictly kila kitu kipo kwenye web yao

Mwenzio anakwambia hana access na net wewe unakazana tu a-google! Sasa ata-google na nini kama hana net?
 
Hiki chuo kipo London?

Nshakusoma, nakushauri we nyani ambae still hauoni wekundu wa k*ndu lako kua jina la chuo lisiifanye akili yako ipate negatv influence. Lile ni jna la kawaida tu kama llvo jna la na demu wako na lako Au jna langu na la dada ako.
USIIFANYE AKIL YAKO KUA TASA, USIOGOPE WALA KUDHARAU JNA. nyambafu.
 
Hyo 290 ndo pesa nayotakiwa ongezea kwenye mkopo nliopata chuon kwangu,duh hv nyie hamkuona vyuo vya kuchagua nn,wale wa sauti,ifm,kairuk,imtu n wale wale kasoro tarehe

Ungepita tu kimya ndugu yangu.Subiri fainali ni ajira.
 
kama ni BAED ni Tsh650000/=Lakini kwa shahada nyingine kama BA in Economics na Law ni Tsh 590000/= karibu sana JUCO ni chuo kizuri kinacho muandaa mtu kufikia ndoto zake kiuchumi, kijamii, na kiroho pasipo kuharibu mipango yako.
 
Nshakusoma, nakushauri we nyani ambae still hauoni wekundu wa k*ndu lako kua jina la chuo lisiifanye akili yako ipate negatv influence. Lile ni jna la kawaida tu kama llvo jna la na demu wako na lako Au jna langu na la dada ako.
USIIFANYE AKIL YAKO KUA TASA, USIOGOPE WALA KUDHARAU JNA. nyambafu.

Naona nawe unasoma hapo, maana hata uwezo wako wa kufkr umekaa kikata kata. Poor zao la Mulugo!
 
Back
Top Bottom