Msaada juu ya biashara ya blogging na website

Ben bizzoh

Senior Member
Joined
Dec 28, 2013
Posts
121
Reaction score
5
Jaman mm nina nia kweli ya kufanya blogging au website kui run..Nina ideas nyingi za Ku apply lkn kabla sjaingia napenda kujua malipo yake yakoje na pia nifanyaje ili nipate malipo zaidi

Naomba msaada tafadhali kwa anaye jua ili tufanye kaz so kuzubaa zubaa 2

Swali jingine ni kua kati ya blog na website ipi ni vizuri uwe nayo?

Nimeangalia sana michuzi blog....Bongo5.com - The Hottest News, Gossip, Music and Videos ...DJ fetty ....milard ayo na nyinginezo
 

wasiliana na tzbloggers@gmail.com, watakufahamisha mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…