Miss trinity
Member
- Feb 18, 2014
- 95
- 24
naomba nikuulize maswali machache dada, ili nikusaidie kwa mawazo ya jinsi ya kuiwekeza hiyo 1m yako katika hiyo biashara.Wapendwa naomba msaada wanu juuu ya Kujua jinsi ya kuanza biashara hiii ya kuuza chakula,nakupenda sana lakini sijui wapi pa kuanzia na mtaji ni nilionao ni sh.m.1 tuu.naombeni msaada wapendwa ili niweze kutimiza ndoto yangu ya kufanya biashara ya hotel.
Mkuu kwa 1m hata restaurant ni mtihani, lakini kama anataka kuwa anapika na kwende kupeleka kwa maofisi atafanikiwa.Do you really mean a "hotel" au unamaanisha tu sehemu ya chakula kama restaurant!? Kama ni hotel 1m haiwezi tosha kuwa na jengo wala vitanda vya hotel ili watu walale...
Kama ni restaurant tafuta kijiwe upange, biashara ya msosi haigombi
Ohhh sorry i mean restaurantDo you really mean a "hotel" au unamaanisha tu sehemu ya chakula kama restaurant!? Kama ni hotel 1m haiwezi tosha kuwa na jengo wala vitanda vya hotel ili watu walale...
Kama ni restaurant tafuta kijiwe upange, biashara ya msosi haigombi
Ndiyo niulize tuuunaomba nikuulize maswali machache dada, ili nikusaidie kwa mawazo ya jinsi ya kuiwekeza hiyo 1m yako katika hiyo biashara.
Natafuta watu waifanye na location ya sehem ninayo tayar.ila sijui nianzie wapi bado sina Vifaa kama Vyombo nkwewe mwenyewe ndio utakae kuwa ukipika au umekusudia kuajiri watu kufanya hiyo kazi?
tayari umeshafanya tathmini ya hilo eneo uweze kujua aina ya wateja wakutarajia? nikimaanisha kipato cha walio wengi katika mazingira husika.Pili umeangalia mapungufu ya watu wanaofanya aina ya biashara kama unayotaka katika eneo hilo ni yapi?Natafuta watu waifanye na location ya sehem ninayo tayar.ila sijui nianzie wapi bado sina Vifaa kama Vyombo nk
tayari umeshafanya tathmini ya hilo eneo uweze kujua aina ya wateja wakutarajia? nikimaanisha kipato cha walio wengi katika mazingira husika.Pili umeangalia mapungufu ya watu wanaofanya aina ya biashara kama unayotaka katika eneo hilo ni yapi?
Sawa ntakutafutandugu usitaje hotel kwapesa hiyo..ushauri zaidi 0655229028
Ohhh,sawa nimekuelewa ntauzingatia ushauri wako but nilitamani nianze mwenyewe na Nina imani ntaweza ila Vifaa na gharama zake ndiyo sijuiBiashara ya restaurant inahitaji mtaji wa kutosha, kwa maana ni tofauti Na cafeteria au mamantilie. Ukitaka kufanikiwa kwenye biashara hii ni lazima kuisimamia mwenyewe , mtaji sio tatizo unaweza kuanza kidogo kidogo Ila tafta watu mfanye kwa share japo mfike angalau wawili au watatu
sasa hapo tatizo ni mtaji naona, i suggest uanze kidogo ili mtaji uongezeke kutokana na mapato utakayo kuwa unayapata.Mfano uanze kwa kununua vyombo vichache, viti na meza za plastic...tafuta watu wenye uwezo mzuri wa kuandaa mapishi,anza na kuuza kifungua kinywa asubuhi kwa supu, chai za viungo, maji ya matunda etc, mchana pia pika vyakula vizuri na bei ifanye iwe rafiki ili kuvutia wingi wa wateja.Kwa kuanzia unaweza kuwalipa wafanyakazi kwa ujira wa siku huku ukiangalia upepo wa biashara.Yeah nimeshachunguza tayari lakini hakuna sehemu nzuri sana hapa nilipo ktk swala la chakula yupo mtu kafungua na anajina lakini huduma ciyo nzuri sana.na hapo nilipopata ni pazuri coz ni center na nipo na office mbalimbali yaan ni pazuri coz ni opposite na TRA,TANESCO,na NMB so ni pazuri
Asante sana ndg nimepokea mawazo yako na naanza kuyafanyia kazi soonsasa hapo tatizo ni mtaji naona, i suggest uanze kidogo ili mtaji uongezeke kutokana na mapato utakayo kuwa unayapata.Mfano uanze kwa kununua vyombo vichache, viti na meza za plastic...tafuta watu wenye uwezo mzuri wa kuandaa mapishi,anza na kuuza kifungua kinywa asubuhi kwa supu, chai za viungo, maji ya matunda etc, mchana pia pika vyakula vizuri na bei ifanye iwe rafiki ili kuvutia wingi wa wateja.Kwa kuanzia unaweza kuwalipa wafanyakazi kwa ujira wa siku huku ukiangalia upepo wa biashara.
Nimekuelewa kaka ntazingatia hilo..asante kwa ushauri wako..Nakushauri na zingatia sana dada yangu eka mazingira safi na usikasirikie wateje cheka nao wateja wanangalia mazingira kama mabaya siku yapili haji na chakula kama kizuri ndoumemteka kila siku kuwa mkarimu kwa wateja wako kuwa mpole ataka unahasira wanyenyekee wao ndowanao kuweka mjini nawao ndowanao kufanya uwe jeuri kwapesa yao niayo tu