Msaada kwa mtu mwenye uelewa wa biashara ya vitu vya jumla (matumizi ya nyumbani) namaanisha duka la jumla, naomba muongozo kwa anayefanya au mwenye ufahamu na hii biashara,nilipo ni mkoani natamani kuifanya hii biashara nahitaji nipate mwangaza ni wapi nianzie, mtaji wake, ununuzi wa bidhaa unakuwaje