Msaada juu ya cheti za kuzaliwa

Therefore for that case i have nothing to worry any more


Therefore for that case i have nothing to worry any more in processing birth certificate of my son here in Zanzibar
Nilikuwa namjibu huyu aliyesema cheti cha kuzaliwa hakimpi mtu uraia. kwa kifungu hicho you do not have to worry, lkn kwa vile hatujui ya kesho, ndio maana nilishauri mwandikishe tanzania bara. Kuna watu wanavunja sheria kama tunavyoona sasa
 
Kwa mujibu wa sheria zetu na za kimataifa ni kidhibitisho, isipokua kwa mujibu wako wewe tu


Soma katiba uijue, sio kuitembelea.
Kuna aina tatu za uraia.
1. Kuzaliwa
2. Kujiandikisha
3. Kurithi

1. Mfano mzuri, kule mpakani kwetu kuna raia wa nchi jirani ambao walijifungua pale kipindi walipokimbia machafuko nchini kwao, so walipojifungua walipewa vyeti vya kuzaliwa vya watoto wao hata hivyo watoto hao bado sio raia.
2. Kuna watu katika Tanzania hii hii wana asili ya Asia na sio watanzania lakini kulingana na muda waliokaa Tanzania (miaka 10-20) wameomba uraia wa tanzania na kukubaliwa maombi yao na hivi sasa tayari ni Watanzania.
3. Hata wewe na mkeo mnaweza kuamua kwenda kuishi nje ya Tanzania na hadi mkeo akajifungulia huko huko lakini mtakapokuja Tanzania mtoto atakuwa ni Mtanzania kutokana na asili ya wazazi wake (Watanzania).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…