Msaada juu ya clinical officer

Masuonline

Senior Member
Joined
Jun 4, 2013
Posts
192
Reaction score
17
Habarini wana jf,ndugu zangu napenda kufahamu kama mtu mwenye certificate ya nursing anaweza kujiendeleza na kuwa chrinical officer ama chrinical medicine na kama ndio je itamchukua mtu miaka mingapi kusomea.asanteni sana ndugu zangu.
 
Chrinical officer ndo kitu gani?? Hata hujui unachotaka kuuliza, kwa sababu mtu aliesoma diploma ya CLINICAL(sio chrinical) medicine ndo anaitwa clinical(sio chrinical) officer.
Kozi ya diploma ya clinical medicine ni miaka mitatu no matter what.
 
duh hiyo course ni mpya?ufafanuzi kidogo unahitajika
 
Kama baaada ya kumaliza diploma ya nursing hujui kuandika clinical nakuomba achana na kazi ya tiba na ufungue ka grocery kunusuru maisha ya watanzania wenzetu.
 
watz wengi tuna matatizo ya spelling iwe kwenye kiswahili chetu au kingereza.
 
Asante kwa hii hoja, siku anafungua hiyo grosare nitakupa ofa ya kreti nzima tumuungishe kunyanyua mtaji
Kama baaada ya kumaliza diploma ya nursing hujui kuandika clinical nakuomba achana na kazi ya tiba na ufungue ka grocery kunusuru maisha ya watanzania wenzetu.
 
Habarini wana jf,ndugu zangu napenda kufahamu kama mtu mwenye certificate ya nursing anaweza kujiendeleza na kuwa chrinical officer ama chrinical medicine na kama ndio je itamchukua mtu miaka mingapi kusomea.asanteni sana ndugu zangu.

Clinical officer ukiwa form four au six? Form four ni 3 years na form six ni two years, ukiwa na certificate ya Nursing basi hiyo itakurahisishia kwenye masomo yako kwani vitu vingine utakuwa umevisoma kwenye Nursing course, obviously utafanya vizuri kuliko anayeanza afresh
 
Habarini wana jf,ndugu zangu napenda kufahamu kama mtu mwenye certificate ya nursing anaweza kujiendeleza na kuwa chrinical officer ama chrinical medicine na kama ndio je itamchukua mtu miaka mingapi kusomea.asanteni sana ndugu zangu.

Chrinical = Clinical
 
Hapana, si kweli,kuwa ukiingia na form six ni two years, its three(3) years no matter what!!
Na certificate ya nursing IS NOT a qualification ya kumuwezesha mtu kufanya diploma ya clinical medicine,labda atumie cheti cha form four, tuache upotoshaji katika vitu tusivyovifahamu.
Qualification ni Certificate of Secondary Education Examination(CSEE), na kuna specific grades lazima uwe umeattain in Biology and chemistry i think.
Wanaoenda kufanya diploma ya clinical medicine baada ya kumaliza form six huwa wanakuwa hawajafanya vizuri kiasi cha kuwawezesha kusoma degree ya medicine(MD), hivyo hutumia qualification zao za form four kusoma diploma ya clinical medicine, but even then na wao huwa wanasoma for three years just like everybody else.
 
Last edited by a moderator:
Kwa opinion yangu hcho cheti cha nesi utakuwa umebushi mana neno clinical haliwez mshinda medical personal.kama unataka jiunga na clinical officer yabidi uwe na credt za chemia&biology&D ya phy no matter una cheti cha medical lab au nesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…