Hiyo coz iko st.joseph tu unajua wale wanaiita hivyo kutokana na mitaala ya India so ukiingalia kiundani ni kama telecom ya udsm ila ninachokifahamu telecom ni ka part tu ka communication so yenyewe iko wide kiaina, alafu ukifika pale chuoni utakuta ghorofa yao moja imeandikwa kwa maandishi makubwa SCHOOL OF ELECTRONICS AND TELECOMMUNICATION ENGINEERING so mkuu kwa maneno mengine naweza kusema ile ni Telecom so tegemea kufanya kazi kama TELECO ENGINEER. Hayo ni maoni yangu