king rockie ATL
JF-Expert Member
- Jun 1, 2012
- 260
- 25
wadau inakuaje TCU wanakuandikia not eligible kozi zote,kwa mfano mimi kozi zote nane wameniandikia not eligible na nina vigezo vyote hadi zile za kawaida sasa huu ni mtandao ama? na ina effect gani?
yani requirement zote zipo na minimum pont nmepta kwani kozi nyingi nilizoapply ni za sua na point zake ni 3 mimi nna point 9 na masomo yanyohitajika yapo
div 1 ya point 9
div 1 ya point 9
CBG yani chemistry-D,biology-B,geog-C
wadau inakuaje TCU wanakuandikia not eligible kozi zote,kwa mfano mimi kozi zote nane wameniandikia not eligible na nina vigezo vyote hadi zile za kawaida sasa huu ni mtandao ama? na ina effect gani?
mkuu matokeo yote yapo ya advance na ya o level ila bdo chenga!