Masumbuko Hassani Member Joined Feb 26, 2014 Posts 10 Reaction score 6 Apr 29, 2016 #1 Nduhu zangu naomba msaada wa kuweza kufaham bei na kiwango cha faida kwa kuuza luku.kwa machine za max malipo na selecom
Nduhu zangu naomba msaada wa kuweza kufaham bei na kiwango cha faida kwa kuuza luku.kwa machine za max malipo na selecom
mathewa JF-Expert Member Joined Sep 5, 2012 Posts 780 Reaction score 1,171 Apr 29, 2016 #2 Faida inategemea na miamala utakayofanya. Wanalipa asilimia 2.5 kwa kila muamala
Masumbuko Hassani Member Joined Feb 26, 2014 Posts 10 Reaction score 6 Apr 29, 2016 Thread starter #3 Thanks a lot
Masumbuko Hassani Member Joined Feb 26, 2014 Posts 10 Reaction score 6 May 11, 2016 Thread starter #4 Ina maana katika kila mauzo ya sh 100,000/= faida yake ni 2,500/= sio
gstar JF-Expert Member Joined Jun 19, 2011 Posts 790 Reaction score 1,373 May 16, 2016 #5 Mbona asilimia ndogo sana