Habari wadau,
Hii thread sijajua nieke jukwaa lipi.....
Anyways, nilinunua fog lights kwa ajili ya gari yangu, hizi fog lights ni Zina LED Bulbs kisha zina round ring (angel eyes) ambayo pia ni LED bulbs. Sasa wakati nipo nafundi tunafunga, tumeunganisha ile wire ya round ring pamoja na ya parking, ziliwaka bulbs zote vizuri, tukaamua tuipachike tuifunge, tulipoiwasha tena mambo yamebadilika, sasa baadhi ya zile bulbs zinawaka vizuri nyengine zinpwesapwesa, nyengine muangaza hafifu. Tatizo ni nini wakuu? nimejribu kugoogle nimeona ishu kuhusu polarity, mimi si mtaalamu wala sijui polarity nini.... watu wa wiring ama yoyote mweny uelewa msaada jamani.
Asanteni