Msaada: Juu ya hii course Bachelor Degree in Marketing and Public Relation

Msaada: Juu ya hii course Bachelor Degree in Marketing and Public Relation

Joined
Jul 28, 2016
Posts
10
Reaction score
0
Habar WanaJF. Naombeni msaada juu ya hiyo course inahusu nini, waweza ajiriwa Kama nani, soko lake ajira na je, ni chuo gani kiko vizur kwenye hiyo course Kati ya NIT & SAUT. Maelezo zaid namba yangu hii hapa waweza nichek 0718182848
 
Mkuu iyo kozi me siku shauri kabisa kwani umesoma comb gani Kwanzaa
 
Sina majibu ya kila kitu katika hoja yako lakini nitakujibu kwa sehemu.

1/Kozi inahusiana na Utafutaji wa Masoko na Mahusiano ya Umma.

2/Ukiajiriwa unakuwa ni Msemaji wa Taasisi, Meneja Masoko au Mtawala katika taasisi.

3/Hiyo ni kozi nzuri LAKINI kwa sasa huwezi kuajiliwa kabisa(Ni bahati nasibu)

4/Ni ngumu sana kuweza kujiajiri kwa kusomea kozi hiyo AU haihitaji kabisa kusoma kwanza kozi hiyo ili uje ujiajiri kufanya kazi hizo.

USHAURI WANGU.
Achana kabisa na kutaka kusomea kozi hiyo au yoyote inayofanania na kozi hiyo, kwa sasa ni bahati nasibu kwa kozi hiyo katika kujiajiri au kuajiriwa.
Kama unapenda kuajiriwa basi jipange kusomea kozi za Afya au Ualimu.
Na kama una mpango wa kutaka kujiajiri, basi potezea kabisa kwenda chuo kikuuu, jipange kupiga issue zako za kutafuta fedha au Nenda zako vyuo vya ufundi tafuta fani unayoipenda na kisha somea uje kujiajiri.
 
Kuwa pro tz ni shida nowdays ila ukae ukijua hapo lazima ujiajili kwa kitu chengine maana waandishi wa habari wengi wameingia kwenye hii fani pro sababu wana majina
 
Vp kuhusu Bachelor of Adult Education and Community development mana ndo iliyobak kwenye TCU ambayo nimeplan kusoma kweny chuo cha Institute of Adult Education
 
Vp kuhusu Bachelor of Adult Education and Community development mana ndo iliyobak kwenye TCU ambayo nimeplan kusoma kweny chuo cha Institute of Adult Education
Hiyo Bachelor of Adult Education and Community development ndio fani pekee bora kabisa kwako katika hicho chuo, kwa sababu mbili tu.
1/Ndani yake ina kozi ya Elimu, uhakika wa kuja kupata ajira serikalini ni almost 90%. Ni suala la muda tu.

2/Imebeba Kozi mbili kwa mpigo tena za Fani mbili tofauti. Kibongo bongo hiyo ndio safi. Maana una nafasi ya kutafuta ajira kutoka angle zote mbili.
 
Back
Top Bottom