Msaada juu ya hii kozi ya BMS

Msaada juu ya hii kozi ya BMS

casbias

Senior Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
199
Reaction score
25
Salamu zenu wa Jf, naomba kuuliza juu ya kozi ya Bachelor of medical laboratory hapo MUHAS,KCMC ni kiwango gani cha ufaulu kinahitajika ili kuweza kuwa allocated na tcu kwenye vyuo hivyo..
msaada wenu jamani kwa anaye jua.
 
Back
Top Bottom