casbias Senior Member Joined Oct 30, 2014 Posts 199 Reaction score 25 Feb 3, 2015 #1 Salamu zenu wa Jf, naomba kuuliza juu ya kozi ya Bachelor of medical laboratory hapo MUHAS,KCMC ni kiwango gani cha ufaulu kinahitajika ili kuweza kuwa allocated na tcu kwenye vyuo hivyo.. msaada wenu jamani kwa anaye jua.
Salamu zenu wa Jf, naomba kuuliza juu ya kozi ya Bachelor of medical laboratory hapo MUHAS,KCMC ni kiwango gani cha ufaulu kinahitajika ili kuweza kuwa allocated na tcu kwenye vyuo hivyo.. msaada wenu jamani kwa anaye jua.