Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,078
- 5,882
Asante Mshana!!Hii ina mahusiano ya moja kwa moja na maisha yako hasa kwenye changamoto za kipato ajira na umiliki.
Tafsiri ya jumla kuna vitu vya ndoto vyako unatakiwa kumiliki lakini kila ukijaribu kuvihodhi vinakutoka.
Noted StephotNdoto ikishakuwa inajirudia mara kwa mara ni ishara kuwa kuna kitu kizuri au kibaya kinakuja kutokea mark my words.Ni vizuri ukafanya maombi ya kudhamiria ili upate ufafanuzi wa hiyo ndoto na kama ni jambo baya basi uombe mwenyezi Mungu akuepushe nalo,you have to be serious on this...
AminaKabla ya kutafuta suluhu yeyote katika maisha yakupasa uwe na imani kwanza. Kama huna Imani hata wangeshuka Malaika ni kazi bure. Amini kwamba unayo haki ya kuwa na utulivu, Unayo haki ya kuota ndoto nzuri,Hutakiwi kuteseka tena kwa sababu Yesu wa Nazareti alilipia yote ili uwe huru, hivyo kama hujanwalika Yesu katika maisha yako, Mwite hata sasa anapatikana.