Msaada juu ya hili tangazo la mafunzo ya afya

Msaada juu ya hili tangazo la mafunzo ya afya

esmaely

Member
Joined
Mar 30, 2014
Posts
10
Reaction score
0
Wakuu naomba kueleweshwa juu ya hili lililotolewa na wizara ya afya 2014/2015 mbona sijaona nafasi ya clinical officer au mwaka huu hakuna nafasi hizo naomba wakuu mnieleweshe
 
wanaaply kwa njia ya mtandao na katajwa kwa jina la tabibu ndugu cjali apply.
 
Clinical medicine uliyoiona ndio hiyohiyo clinical officer kwani tusha apply.
 
ingia nacte pale utakuta mwongozo mzma wahiii nafasi ni chache ss ni wengi
 
Back
Top Bottom