habari wana JF
mimi ni mwanafunz mtarajiwa wa ifm na pia makazi ni mwanza tatizo linakuja sina mkopo halafu nahisi maisha dar yatakua magumu sana,nlikua nkifikilia kuja kutafuta part time work japo niwe napata kitu kwa muda fulan,naomba kwa mtu anayeweza nisaidia mahali ambapo naweza ajiliwa au anayeweza kuniajil anisaidie,au mkuu mwenye wazo pia msaada