Msaada juu ya hukumu ya kifungo cha nje

Developer IOS

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2017
Posts
1,456
Reaction score
1,410
Habari wakuu mimi nilitapeliwa kiasi cha sh laki 9 na rafiki yangu kwa kivuli cha mchezo feki kesi ikaenda mahakamani baada ya kushindwa kumalizana kifamilia akafungulia shtaka la kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu mahakama ikamkuta na hatia na kumuhukumu kifungo cha nje cha mienzi miwili na kuamuriwa kulipa pesa zote naomba msaada je kuna uwezekano wa kuomba mahakama structure ya ulipaji iwe ya haraka ili isiniumize

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…