Msaada juu ya jambo hili

brave_3

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2014
Posts
1,186
Reaction score
705
Habari za sahizi wakuu.
pasipo kupoteza muda naomba niende moja kwa moja kwenye ishu husika

Nina dada yangu amezaa mtoto mmoja,baada ya kuzaa akaji ingiza kwenye uzazi wa mpango. njia anayo tumia mi ya sindano ya DEPO.mwezi wa pili sasa haja ziona siku zake, na pia mate yana jaa sana mdomoni.

Sasa je sindano ya Depo ina uwezo wa kuzuia mimba?

na kama Depo inazuia mimba je tatizo la hedhi kusimama linatokana na nini?

na mate kujaa mdomoni sio dalili ya mimba au ndio hiyo sindano inayo msababishia hivyo?

NITAFURAHI KAMA NITAPATA MAJIBU TOKA KWENU . ASANTENI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…