MSAADA: JUU YA KAMPUNI YA T.PURCHASE.

Mr Tyang

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2018
Posts
1,728
Reaction score
6,806
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza kwa mwana jamvi yeyote Alie na uelewa na hii campuni ya Tpurchase ambayo inajihusisha na online investment Kisha kurudishiwa asilimia 40 ya pesa uliowekeza baada ya siku Saba..anijuze zaidiii maana humu ndo Kuna ma great thinkers wa kutosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tpurchase ambayo inajihusisha na online investment Kisha kurudishiwa asilimia 40 ya pesa uliowekeza baada ya siku Saba
Fafanua hapo kwenye bold

Je ni uwekezaji gani huo unaofanyika wa kimtandao??
Fafanua ni ninihasa wanafanya hao tpurchase hadi waweze kukupa rejesho la faida ndani ya muda mfupi?
Je kuna wengine unaowafahamu walio wekezeza t.purchase na wamepata mafanikio ambayo wewe unayatamani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…