Faithlady
Member
- Nov 28, 2013
- 13
- 2
habari zenu,mwenzenu nasumbuliwa na maumivu kwenye ziwa langu la kulia yapata mwaka sasa, nimetibiwa kwenye hospital za kawaida bila mafanikio sasa nataka kwenda kupima kansa dar es salaam nami nipo mkoani nilikua nauliza anayejua hospital nzuri kwa ajili ya hivyo vipimo vya saratani ya titi. msaada please nataman nipate mwangaza kidogo ili nijue wapi pa kuanzia