habari zenu,mwenzenu nasumbuliwa na maumivu kwenye ziwa langu la kulia yapata mwaka sasa, nimetibiwa kwenye hospital za kawaida bila mafanikio sasa nataka kwenda kupima kansa dar es salaam nami nipo mkoani nilikua nauliza anayejua hospital nzuri kwa ajili ya hivyo vipimo vya saratani ya titi. msaada please nataman nipate mwangaza kidogo ili nijue wapi pa kuanzia
Mkuu, huko mkoani lazima kuna hospitali wanaweza kukupima kama una kansa au la. Nenda kapime kwanza wakikuambia una kansa basi unijulishe mapema.
tatizo sijui wapi nikapime mana nimeenda hospi karibu tatu kote wananifanyia utrasound basi wananambia hakuna tatizo wakati chini ya kwapa karibu na ziwa nina kiuvimbe kidogo sn nimekigundua mwez ulopita kuanzia mwaka jana yalikua maumiv tuu ndo nkaona bora nielekee huko may b kuna vipimo zaid.
nipo mbeya mjini,just nielekeze ntashukuru
nafaham na nikijipima sioni uvimbe ndani ya titi sema ni maumivu kwa ziwa la kulia na kuna kiuvimbe kidogo sana chin ya kwapa near titi ambacho kimeanza kuonekana last month ndo kinachonipa mawazo kua isije kua kansaNenda hospitali ya rufaa kwanza, uonane na daktari wa kawaida. Kama una safari ya daslama basi uende hospitali ya private yoyote, tmj ama agha khan. Muhimbili watataka referal letter.
Usijiwekee mawazo ya kansa kwa kuanzia. Kwa sababu kansa ikianza haiumi. Unafahamu jinsi ya kujipima matiti yako mwenyewe?
nafaham na nikijipima sioni uvimbe ndani ya titi sema ni maumivu kwa ziwa la kulia na kuna kiuvimbe kidogo sana chin ya kwapa near titi ambacho kimeanza kuonekana last month ndo kinachonipa mawazo kua isije kua kansa
Mbeya ni kuna hospital ya rufaa, so kuna maspecialist, anzia hapo kwanza kama wataona tatizo ni kubwa watakupa rufaa kwenda kwingineko
But ondoa wasi wasi kwamba ni kansa kumbuka mdomo unaumba
ahsante sana umenitia moyo kwakweli mana nlikua nawaza kufa kufa tuu ila mlipoanza kuchangia uz wangu angalau napata ahuen hata kabla ya kupima. ntaenda hosptal jumatatu then ntaona watanambia nini mana mara ya mwisho dr alinambia nikapima kipimo cha mammagraphy coz ultrasound ilikua haionesh kitu. thanx kwa kunitia moyoUsiwaze sana mpendwa huenda ikawa si kansa wala usiweke wazo la kansa naamini hauna kansa
Nenda hospital ya rufaa kama tatizo litakua kubwa wao watakupa kibali cha kwenda hosp nyingine
But kama unaona mzunguko mrefu njoo dar anzia Amana ikishindikana process nyingine zitafuata
Pole sana jaman usijali utapona kua na amani kabisa !!