PeterLugomo
Member
- Aug 27, 2015
- 19
- 17
Makampuni, nadhani chunya mko na mkwaws, jitahidi umwone bwana shamba au afisa kilimo akupe abcAsante sana kaka nimepata mwanzo. Masoko ni kuuzia makampuni tu au na serikali inanuua.
Maelezo mazuri.Nimewahi kufanya Kazi huko km Afisa Kilimo.Ulichosema ni sahihi,labda km utaratibu umebadilika sasa hivi.Chunya walikuwa wanalima tumbaku ya moshi na kwa sasa wanalima tumbaku ya mvuke, kuhusu mbegu makampuni yanayonunua hua yanagawa katika vyama vya msingi miezi miwili kabla ya msimu wa mvua, nadhani kuhusu pembejeo na elimu huwa inatolewa, pembejeo hukopeshwa katika vyama vya msingi kama ndio mdhamini baada ya mrajisi wa mkoa kujiridhisha makadirio ya uzalishaji. Karibu
Shukrani mtaalamu, tuko pamojaMaelezo mazuri.Nimewahi kufanya Kazi huko km Afisa Kilimo.Ulichosema ni sahihi,labda km utaratibu umebadilika sasa hivi.
Maban kama maban 😂Unatakiwa uwe kwenye ushirika
Ukiwa kwenye ushirika unapewa kila kitu unakopeshwa.
Utakacho kuwa nacho wewe ni Shamba na mabani ya kuchomea tu
Maban kama maban [emoji23]
Umechelewa kwani mvua zimeanza?Mabani hayo nimeambiwa mwaka huu nimechelewa.. najipanga mwakani