Benny13
Member
- Jan 31, 2014
- 32
- 6
Habari wanajamvi! Kuna mdogo wangu ni Mwalimu wa ngazi ya Diploma katika Shule ya Msingi. Ameajiriwa miaka ya karibuni. Anataka kujiendeleza kielimu Open University katika kozi ya Bachelor of Business Administration with Education huku masomo ya kufundishia yakiwa ni Bookeeping na Commerce . Ila baadhi ya watu wanamwambia baada ya kumaliza kozi hiyo hatoweza kubadilishiwa Muundo/ daraja katika utumishi wake japokuwa kozi hii huzalisha walimu wa biashara na ipo katika Faculty ya Education. Sasa naomba msaada kwa yoyote anayefahamu uhalali wa hii kozi kwa walimu.
Natanguliza shukrani.
Natanguliza shukrani.