Shalom wanajf,Naomba kwa wanaofahamu kinagaubaga juu ya hiyo kozi, anisaidie kufafanua mtu atakayesoma kozi hii atapata kujifunza juuu ya nini, field anaweza kufanyia wapi pia hata kikazi ataweza kuspecialize sehemu ipi.
Note: kuhusu suala la upatikanaji wa ajira naomba mtupe kule bali nahitaji nipate maelezo juu ya maswali hayo hapo juu.