Msaada juu ya kuomba uhamisho kutoka Dar kwenda Morogoro

Msaada juu ya kuomba uhamisho kutoka Dar kwenda Morogoro

MSWATI III

Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
90
Reaction score
63
Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa wadau wa JF.

Nina mdogo wangu wa kike anafanya kazi Dar (Nurse) serikalini na mme wake anafanya kazi Morogoro. Ana mpango wa kuhamia kwa Morogoro ili aweze kuishi pamoja na mmewe na kupunguza gharama za maisha ya mjini. Naombeni Ushauri aanzie wapi na afanye nini kwa mujibu wa sheria ya kazi ya jumhuri yetu. Natanguliza shukrani
 
atafute nafasi kwanza ya anakohamia,zen akipata nafasi aandike barua kwa mwajiri wake kuomba ahame,lazima nakala moja iende utumishi wa umma
 
Back
Top Bottom