Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa wadau wa JF.
Nina mdogo wangu wa kike anafanya kazi Dar (Nurse) serikalini na mme wake anafanya kazi Morogoro. Ana mpango wa kuhamia kwa Morogoro ili aweze kuishi pamoja na mmewe na kupunguza gharama za maisha ya mjini. Naombeni Ushauri aanzie wapi na afanye nini kwa mujibu wa sheria ya kazi ya jumhuri yetu. Natanguliza shukrani