Wanajamvi heshima yenu ndugu zangu. Sijaripoti chuo tangu kifunguliwe kwa sababu ya kutokua na mkopo sasa nimejichanga na raia mbalimbali wamesema watanisaidia nipate ya kusoma semister moja nikiwa nafuatilia mkopo likinuma tena chuo basi. Sasa ninajiuliza watanipokea kweli chuoni au nimechelewa?.Nimechaguliwa Mechanical Engineering COET (UDSM). Naomba kujuzwa