Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Toka Hapo kibandani ibilisi mkubwa ww
Hauko serious.Kuna mteja alikuja kibandani kwangu akihitaji kutoa hela yake iliyokuwa imetumwa kwa njia ya sms kwenye simcard yake ya Vodacom, mimi kama wakala wa M-Pesa nikawa nimepata ugumu namna ya kumtolea hela hela yake, mwenye uelewa tafadhali anipe upeo.
mbona huwezi tumia akili yako tu ya kiutu, kama kitu unaona hakikuhusu ni bora sana kuachana nacho na sio kuandika utumbo.Toka Hapo kibandani ibilisi mkubwa ww
eeeh ina kila kituHiyo msg yake ndio ina code namba za kutolea pesa...
Dah 😂😂😂😂Toka Hapo kibandani ibilisi mkubwa ww
Chukua simu yako ya wakala nenda huduma za kifedha, kutoa pesa, ingiza namba za simu (simu iliyoyumiwa iyo Hela kwa sms) halafu weka neno la Siri lililopo kwenye sms halafu utaweka utambulisho wako wa msaidizi halafu utamalizia na namba yako ya Siri ya wakala Hela itatoka wote mtapata sms ya Hela kutoka.Kuna mteja alikuja kibandani kwangu akihitaji kutoa hela yake iliyokuwa imetumwa kwa njia ya sms kwenye simcard yake ya Vodacom, mimi kama wakala wa M-Pesa nikawa nimepata ugumu namna ya kumtolea hela hela yake, mwenye uelewa tafadhali anipe upeo.
shukrani sanaChukua simu yako ya wakala nenda huduma za kifedha, kutoa pesa, ingiza namba za simu (simu iliyoyumiwa iyo Hela kwa sms) halafu weka neno la Siri lililopo kwenye sms halafu utaweka utambulisho wako wa msaidizi halafu utamalozia na namba yako ya Siri Hela itatoka wote mtapata sms ya Hela kutoka.
Serious kuna wakala hajui kitu kirahis hiki kama hataki kua wakala angesema[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama hataki kua wakala angesema tuDah 😂😂😂😂
Kwanini usimsaidie?Toka Hapo kibandani ibilisi mkubwa ww
Sorry hayo maelezo hapo juu ni kutoa Hela mpesa, huyo mteja Yuko na sim card ya Voda maana yake Hela(sms) iliyoingia kwenye hiyo chip haikutoka mpesa yaani aliyemtumia yeye alituma kutoka mtandao mwingine (Airtel money, tigopesa, halopesa, T-pesa au Z-pesa) bila kuchagua mpesa ndo maana Hela ikaenda kama sms.Kuna mteja alikuja kibandani kwangu akihitaji kutoa hela yake iliyokuwa imetumwa kwa njia ya sms kwenye simcard yake ya Vodacom, mimi kama wakala wa M-Pesa nikawa nimepata ugumu namna ya kumtolea hela hela yake, mwenye uelewa tafadhali anipe upeo.
Duh [emoji23][emoji23]Toka Hapo kibandani ibilisi mkubwa ww
Umetisha sanaa ndugu WAKALA MWENZANGU..!!!Chukua simu yako ya wakala nenda huduma za kifedha, kutoa pesa, ingiza namba za simu (simu iliyoyumiwa iyo Hela kwa sms) halafu weka neno la Siri lililopo kwenye sms halafu utaweka utambulisho wako wa msaidizi halafu utamalizia na namba yako ya Siri ya wakala Hela itatoka wote mtapata sms ya Hela kutoka.
Kaka punguza stress. 😂Toka Hapo kibandani ibilisi mkubwa ww
Mimi sio wakala mkuu,Umetisha sanaa ndugu WAKALA MWENZANGU..!!!
#YNWA