Msaada juu ya kutokwa na jasho jingi

Msaada juu ya kutokwa na jasho jingi

mysavior

New Member
Joined
Dec 2, 2024
Posts
1
Reaction score
2
Habar gan wakuu

Nimekuwa nikisumbuliwa na hali ya kutokwa na jasho jingi hata kukiwepo na barid, tangu umri wa barehe mpaka leo miaka kama 10 imepita kwa anaejua hilo msaada pls
 
Mimi toka mdogo Niko hvoo mpaka Leo, naniloshaambiwa mengi mnoo
 
Natafuta mwanamke Bikra wa kuoa nataka mimi ndio niwe wake pekee na sitaki MAKOMBO, nina miaka 25, kazi yangu nimeajiriwa Hospitali kubwa jijini Dar es Salaam to, Namtaka mwenye vigezo vifuatavyo :

awe Muslim
mweupe
19 to 22 years
-asiwe na kazi wala biashara yoyote
awe amelelewa kimaadili
awe tayari kuwa na watoto watatu
awe kabila lolote
awe mwembamba itapendeza
NJOO PM TUYAJENGE EWE FUTURE WIFE
 
Wewe mwenyewe bikra?
 
Habar gan wakuu

Nimekuwa nikisumbuliwa na hali ya kutokwa na jasho jingi hata kukiwepo na barid, tangu umri wa barehe mpaka leo miaka kama 10 imepita kwa anaejua hilo msaada pls

Pole sana.

Kutokwa jasho sana hata ktk hali ya ubaridi ni ishara kwamba kuna kitu hakiko sawa mwilini mwako.

Kuna visababishi vingi sana mfano shida ktk tezi ya dundumio (thyroid gland disorders) nk.

Kwa hiyo fika hospitalini kwa daktari ujieleze na atakufanyia uchunguzi na vipimo ili kuweza kubaini chanzo cha tatizo lako na kutibiwa ipasavyo.

Kila lakheri.
 
Back
Top Bottom