Ninategemea kuwepo dsm kwa miezi mitatu , nina miliki Gari ndogo Toyota Wish sasa issue inayonileta mjini ni masaa 8 per day kuanzia saa 9 nakua free na weekends nakuwa free sasa nawaza huo niwe napiga kazi ya uber/bolt kuingiza chochote kitu. Sasa sijui taratibu zake za kujiunga zinakuaje na nina leseni class D. Yeyote mwenye uzoefu na issue hii anisaidie wakuu