Msaada juu ya kuwa wakala wa Maxmalipo au M-Pesa

Msaada juu ya kuwa wakala wa Maxmalipo au M-Pesa

babuukikolo

Senior Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
144
Reaction score
164
Habari wakuu,
Poleni na majukumu.nilikuwa naomba msaa juu ya hii biashara ya kuwa wakala wa maximalipo.sijawahi fanya hii biashara.nataka niiweke dukani kwangu iwe kama kipato cha ziada.
Na je ni bora niwe wa mpesa,tigo pesa au bora ninunue mashine ya maxmalipo?
Vipi changamoto zake?
 
Back
Top Bottom