Habari wakuu,
Poleni na majukumu.nilikuwa naomba msaa juu ya hii biashara ya kuwa wakala wa maximalipo.sijawahi fanya hii biashara.nataka niiweke dukani kwangu iwe kama kipato cha ziada.
Na je ni bora niwe wa mpesa,tigo pesa au bora ninunue mashine ya maxmalipo?
Vipi changamoto zake?