Msaada juu ya malaria

KAGAMEE

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
4,457
Reaction score
5,454
Hapa nilipo naumwa malaria kweli kweli almost for 3days.Nitumie mbinu gan ya asili hasa aina ya matunda niweze kupona??NAENDELEA NA DOZ YA MAJI YA UVUGUVUGU.Asanten
 
Hapa nilipo naumwa malaria kweli kweli almost for 3days.Nitumie mbinu gan ya asili hasa aina ya matunda niweze kupona??NAENDELEA NA DOZ YA MAJI YA UVUGUVUGU.Asanten

mchuma janga hula na wa kwao
 
Hapa nilipo naumwa malaria kweli kweli almost for 3days.Nitumie mbinu gan ya asili hasa aina ya matunda niweze kupona??NAENDELEA NA DOZ YA MAJI YA UVUGUVUGU.Asanten
Dawa ya Kutibu Ugonjwa wa malaria ipo hapo Muhimbili ni hii DAWA YA (Artemisinin) TOKA KITENGO CHA TIBA ASILI HAPO HOSPITALI YA MUHIMBILI. Dawa ingine hakuna tena hapo Hospitali ya Muhimbili mjini Dares-Salaam
 
Dawa ya Malaria sugu jaribu hivi :

Chukua vitunguu swaumu vilivyo menywa kipimo cha kiganja kimoja cha mkono

wako, twanga vilainike, halafu kamulia limao moja au mawili. Acha vikae angalao kwa

masaa 2 halafu weka maji ya kunywa ya uvuguvugu ndio mazuri. Chuja na unywe hayo Maji.

Fanya hivyo mara 2 kwa siku, halafu angalau Tumia siku 3 au zaidi kwa uhakika zaidi.

Huo mpango pia inatibu pia typhoid sugu.

Pia kunywa maji mengi ya uvuguvugu ili kuondoa sumu Mwilini.

Dawa za asili kama Vitunguu Saumu na Malimao hazina Madhara kwa binadamu No Side Effects.
 
Ama kweli siamini kama ni smart mind anatoa ombi ati unatumia maji ya uvuguvugu kutibu malaria yani haijawahi tokea
Sasa ndo maana huwa naomba sana mfumo wa elimu ubadilike angalau wale mnaofanikiwa kufika elimu ya chuo au collage angalau mpate elimu ya afya
Yani hadi karne hii tunaongelea malaria? Poor us
Fika kituo cha afya upate elimu na matibabu halisi kwanza upime ionekane kweli una malaria sio tu unajihis una malaria kuna vipimo ya fasta tu nowadays
Epuka matibabu ya kuigiliza malaria ni ugonjwa hatari usipotibiwa from uncomplicated malaria to complicated severe au cerebral na unapotea sekunde jali afya yako
 
asante sana Doctor!ngoja nianze
 
haya bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…