mavangah
Senior Member
- Sep 9, 2015
- 113
- 23
Habar ya muda huu wakuu..km heading inavyojeleza naomba kujulishwa kuhusu ununuaj wa bidhaa za jumuia maana niko nje ya mkoa wa dar_nmewasiliana nao wananiambia nitume pesa thn ndan ya cku 3 mzigo utanifikia. Naomba kujua kuhusu ubora wa vitu vyao, na yyte mwenye experience na huduma hii. Shukran za dhati kwenu.