hancepeter
Member
- Jul 17, 2022
- 10
- 7
Kwenye ofa unamaanisha japan au hapa bongoAongeze kidogo sasa hivi magari yapo kwenye ofa bei zimeshuka
Kwenye ofa unamaanisha japan au hapa bongo
Discovery 3 sio makalio,kila mtu anayo.Nunua range rover discovery 3
Mfano wa hayo magari ya juu ni yepi?Binafsi huwa napenda gari za juu juu, hizi za chini naona kama sipo kwenye gari; nunua kile kitu moyo wako unataka, iwe mpya, used n.k kuhusu matumizi ya mafuta, itategemea na chaguo lako; ila chakula cha gari ni mafuta.