Msaada juu ya masuala kadhaa katika biashara ya vipodozi

Miss lb4lyf

Member
Joined
Sep 3, 2022
Posts
30
Reaction score
19
Habarini wakubwa heshima yenu

Mimi ni muhitimu wa mwaka huu ni binti nna 23 yrs, sina mpango wala fikra kuusu kuajiriwa, naamini zaidi katika kujiajiri(biashara), Nimefanikiwa kuwezeshwa mtaji wa 5M, nataka kuingia kweny biashra ya vipodozi na urembo kwa ujumla, sababu kwanza naipenda,na ata nilichosomea niki aplly kwenye biashara hii naona kabisa vinauwiyano

Kipind nasoma nilishafanya biashara ya salon ya kike na nimekua nikijifunza mambo mbali mbali kweny vipodozi na urembo Kwa kipindi kirefu hivyo naona kua naweza fit kuliko kwenye biashara nyingine, Msaada wenu juu ya mambo yafuatyo
1. Mambo ya muhimu ya kuzingatia kabla ya kuanza business
2. Mambo ya kuzingatia katika kutafuta loction,mimi nipo dodoma
3. Mambo muhimu ya kuyaepuka katika kuendesha biashara hii,nitaakaa mwenyewe sitaitji mfanyakazi kwa sasa
4. Machimbo mazuri ya mzigo ya jumla kwa bei nzuri,ata kumi me ntayaangalia yote tu kupata zuri said
5. Jinsi ya ku win soko la biashara hii na wateja sehemu nitakayofungua
Na je kwa hii 5m Inatosha kwa kuanzia

Asanteni naomba mchango wenu sana wana jamii forum na kama bkuna chakuongezea pia ushauri nitafurah, Natanguliza shukrani
 
Nina uzoefu wa biashara hii nikimsaidia brother . mchango wangu ni:

1. Fanya tafiti fupi ya vipodozi vinavyopendwa

2. Anza na home ukiuzia mtandaoni ili kutengeneza base ya wateja kwanza

3. Tengeneza upekee wa wateja, mfano sisi tumejiposition tuna deal na vipodozi asilia tu

Ukihitaji ushauri bure piga 0713 039 875
 
Habarini wakubwa heshima yenu

Mimi ni muhitimu wa mwaka huu ni binti nna 23 yrs, sina mpango wala fikra kuusu kuajiriwa, naamini zaidi katika kujiajiri(biashara), Nimefanikiwa kuwezeshwa mtaji wa 5M, nataka kuingia kweny biashra ya vipodozi na urembo kwa ujumla, sababu kwanza naipenda,na ata nilichosomea niki aplly kwenye biashara hii naona kabisa vinauwiyano

Kipind nasoma nilishafanya biashara ya salon ya kike na nimekua nikijifunza mambo mbali mbali kweny vipodozi na urembo Kwa kipindi kirefu hivyo naona kua naweza fit kuliko kwenye biashara nyingine, Msaada wenu juu ya mambo yafuatyo
1. Mambo ya muhimu ya kuzingatia kabla ya kuanza business
2. Mambo ya kuzingatia katika kutafuta loction,mimi nipo dodoma
3. Mambo muhimu ya kuyaepuka katika kuendesha biashara hii,nitaakaa mwenyewe sitaitji mfanyakazi kwa sasa
4. Machimbo mazuri ya mzigo ya jumla kwa bei nzuri,ata kumi me ntayaangalia yote tu kupata zuri said
5. Jinsi ya ku win soko la biashara hii na wateja sehemu nitakayofungua
Na je kwa hii 5m Inatosha kwa kuanzia

Asanteni naomba mchango wenu sana wana jamii forum na kama bkuna chakuongezea pia ushauri nitafurah, Natanguliza shukrani
Hongera sana.

Inatosha kuwa kianzio chako ili uweze kukuza kadri utakavyokuwa inaendelea kukua.

Kama salon yako bado inaendelea au haiendelei, location hiyo ni sahihi pia kuanzia.

Mambo ya kuyaeupuka ni kutokuwa na matumizi makubwa kuliko unachoingiza kwa siku, wiki, mwezi n.k.

Aidha, zingatia sana mahitaji ya wateja ili kuendana na mahitaji yao.
 
Habarini wakubwa heshima yenu

Mimi ni muhitimu wa mwaka huu ni binti nna 23 yrs, sina mpango wala fikra kuusu kuajiriwa, naamini zaidi katika kujiajiri(biashara), Nimefanikiwa kuwezeshwa mtaji wa 5M, nataka kuingia kweny biashra ya vipodozi na urembo kwa ujumla, sababu kwanza naipenda,na ata nilichosomea niki aplly kwenye biashara hii naona kabisa vinauwiyano

Kipind nasoma nilishafanya biashara ya salon ya kike na nimekua nikijifunza mambo mbali mbali kweny vipodozi na urembo Kwa kipindi kirefu hivyo naona kua naweza fit kuliko kwenye biashara nyingine, Msaada wenu juu ya mambo yafuatyo
1. Mambo ya muhimu ya kuzingatia kabla ya kuanza business
2. Mambo ya kuzingatia katika kutafuta loction,mimi nipo dodoma
3. Mambo muhimu ya kuyaepuka katika kuendesha biashara hii,nitaakaa mwenyewe sitaitji mfanyakazi kwa sasa
4. Machimbo mazuri ya mzigo ya jumla kwa bei nzuri,ata kumi me ntayaangalia yote tu kupata zuri said
5. Jinsi ya ku win soko la biashara hii na wateja sehemu nitakayofungua
Na je kwa hii 5m Inatosha kwa kuanzia

Asanteni naomba mchango wenu sana wana jamii forum na kama bkuna chakuongezea pia ushauri nitafurah, Natanguliza shukrani
Sasa rfk angu umesoma nn chuo Kama hujui nin Cha kufanya unapofanya Kaz hzo

Halfu pia umesema umesomaa masoma yanayoendana na biashara hizo Sasa sijui unafeli wapi mdg angu

La pili Ni chuo gani umesoma hata ujui jinsi ya kuanzisha biashara had uje hukuu

Tatu.wenye hzo biashara Wala hawajasoma chuo chochote Ni raia simple tu wenye elimu ndogo Sana ,Sasa wee nenda na usomi wako ndio utakuwa ujui
 
Back
Top Bottom