anuary salum
Member
- Dec 7, 2012
- 70
- 4
Akawaulize waliomuuziaDada mmoja kaniomba niulize kwamba katumia dawa za misoprostol tatu akameza na moja akaweka uken ili kutoa mimba lakini baadaye akatapika je dawa itafanya kazi? Na kama haitafanya arudie zoezi la kutoa kwa muda gani? Tafadhali naomba msaada wenu ndugu zangu.
Ushauri kwanza ndugu zangu.