Habari wana,
Hivi karibuni kumekuwa na swala linalonitatiza sana, nina manzi wangu ambae anadai anapatwa na maumivu ya kichwa makali mno anahisi kama kichwa kinataka pasuka, anapatawa na kizunguzungu na mda mwingine mpaka anatapika kabisa yani.
Hii hali inamkosesha amani na raha ya kuishi kabisa na mie huwa namuonea imani sana akiwa katika halio hio ambayo huwa inanikosesha raha pia, hasa nikiwa sijui nini chanzo chake, huwa nikimpa pain killer kinapoa kwa muda tu then kinazuka upya baada ya nguvu ya dawa kuisha!
MSAADA TAFADHALI KWA WANAOFAHAMU HUU UGONJWA WA SEVERE HEADACHE(MIGRAINES) NA TIBA ASILIA YA KUONDOSHA HARAKA HILI TATIZO WADAU!
Naomba umshauri mpenzi wako akapime HIV/AIDS kwa usalama zaidi. Usitishike kukuambia mkapime HIV sinamaana kwamba ni dalili za ugonjea huo hapa ila itakuwa point nzuri ya kujua nn tatizo linalo msumbua. Pia kichwa kuuma sana inaweza kuwa ni dalili ya kupungua ama kuishiwa aina fulani ya madini na vitamini. pamoja na hayoyote asisahau kupinga wingi wa damu. Mwisho mshauri anywe maji mara kwa mara hata kama hajisikii kiu ya kunywa maji hii itamsaidia kupoza joto la mwili kiujumla.Habari wana,
Hivi karibuni kumekuwa na swala linalonitatiza sana, nina manzi wangu ambae anadai anapatwa na maumivu ya kichwa makali mno anahisi kama kichwa kinataka pasuka, anapatawa na kizunguzungu na mda mwingine mpaka anatapika kabisa yani.
Hii hali inamkosesha amani na raha ya kuishi kabisa na mie huwa namuonea imani sana akiwa katika halio hio ambayo huwa inanikosesha raha pia, hasa nikiwa sijui nini chanzo chake, huwa nikimpa pain killer kinapoa kwa muda tu then kinazuka upya baada ya nguvu ya dawa kuisha!
MSAADA TAFADHALI KWA WANAOFAHAMU HUU UGONJWA WA SEVERE HEADACHE(MIGRAINES) NA TIBA ASILIA YA KUONDOSHA HARAKA HILI TATIZO WADAU!
lol!JF kila mtu ni Daktari sijui wa binadamu au wanyama!!
Hongera mkuu, ubaya yeye anachukia madawa hasa ya hospitali kwa hivyo mpaka nimpige sound sana ndio atumie hizo panadolMimi nimekuwa na tatizo hilo kwa miaka zaidi ya miwili, nikaenda kupima blood pressure nikaona iko juu, nimepata dawa ambayo nimetumia kwa muda nikaacha saivi nacheza na masharti, mazoezi kwa wingi, kupunguza mafuta na chumvi na nipunguze stress. Sa ivi nipo safi
Hospitali suluhu iliopatikana ni kunywa hizo pain killers ambazo sidhani kama ndio dawa stahili, ndio maana niliomba zaidi kupata natural ways za kukabiliana na hili tatizoPamoja na kwenda hospital nashauri achukue majani ya Muarobaini achemshe vizuri na awe anakunywa glass Mara tatu kwa siku muda wa siku 14, amini utashangaa!
Ntashughulikia hili mkubwa, for the better!Naomba umshauri mpenzi wako akapime HIV/AIDS kwa usalama zaidi. Usitishike kukuambia mkapime HIV sinamaana kwamba ni dalili za ugonjea huo hapa ila itakuwa point nzuri ya kujua nn tatizo linalo msumbua. Pia kichwa kuuma sana inaweza kuwa ni dalili ya kupungua ama kuishiwa aina fulani ya madini na vitamini. pamoja na hayoyote asisahau kupinga wingi wa damu. Mwisho mshauri anywe maji mara kwa mara hata kama hajisikii kiu ya kunywa maji hii itamsaidia kupoza joto la mwili kiujumla.
nb: ukizingatia ushauri huu kiufasaha tatizo litaisha ndani ya siku moja ama mbili tu.
Hapo majanga sasa ila dawa in kidonge kimoja Kwa siku na ni kidogoHongera mkuu, ubaya yeye anachukia madawa hasa ya hospitali kwa hivyo mpaka nimpige sound sana ndio atumie hizo panadol