Msaada juu ya mikopo ya mabenki na riba zake pamoja na vigezo muhimu vya kuwa navyo ili kupata mkopo

Riziki Omary

Member
Joined
Oct 9, 2020
Posts
5
Reaction score
4
Mimi naomba kuuliza kwa wale walio pitapita katika maswala ya kiuchumi KUKOPA BANKS

Mfano Mtu unahitaji Kukopa BANK mkopo wa milioni 15

Naomba kujua, Interest rate yao haya mabenk kwa mkopo wa Life Span ya Miaka miwili au Mitatu ni ipi na kama Mtu unaeka Bond Nyumba?

Rate zao zikoje na mashart yao yakoje hasa kweny swala la vigezo vikoje na

Bank ipi ipo vizuri haina ubabaishaji kweny mikopo
 
 

Attachments

  • IMG_1122.png
    537.1 KB · Views: 61
  • IMG_1123.png
    527.6 KB · Views: 69
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…